Elizabeth Michael Instagram – Viongozi mbalimbali pamoja na Waigizaji wakiwa kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Mafanikio yaliyopatikana kufuatia Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Cc @ikulu_mawasiliano
Photo credits @millardayo | Posted on 06/Jun/2024 17:44:23



