Elizabeth Michael

Elizabeth Michael Instagram – ZOGO MCHONGO SEASON 2 imeiva…na host wako mpya…swahiba wako niko tayari KUZOGOA na KUKUPA MICHONGO kama yote..!

Swahiba zuia Rimonti ! 📺

Usikose kucheki Zogo Mchongo kupitia @Cloudstv , kila siku ya Jumanne saa tatu usiku, na marudio ni Jumatano saa nane na nusu mchana, na Jumamosi saa tisa mchana. Ukikosa hapo tukutane mjini YouTube kwenye chaneli ya CRDB Bank.

#crdbzogomchongo2024
#crdbbank
#Tunakusikiliza | Posted on 12/Jul/2024 15:28:19

Elizabeth Michael
Elizabeth Michael

Check out the latest gallery of Elizabeth Michael