Elizabeth Michael Instagram – Moyo wangu umejawa SHUKRANI nyingi mnoooo…kwako wewe mpenzi na shabiki yangu uliyejitokeza siku ya jana katika banda letu ya BABY CHEEKY DIAPERS SABA SABA..!
Ahhh wapendwa wangu hamna mbambamba…Ahsanteni sana kwa KUNIPA JOTO 😀 (kunisupport) MUMMY CHEEKY..!
Ndani ya dakika chake mlijua kunipa joto kweli kweli…Kama mlijua mchaga ni kitu gani kinampa joto 🙈😀 💵
Kwa kila uliyefika ubarikiwe mnooo….Kwa wale mlioamua kwenda mbali zaidi na kunipa joto kwa kununua bidhaa zetu ahhhh 🙌mlipotoa pakazidishwe maradufu IJN 🙏
Mmeugusa moyo wa MUMMY CHEEKY…Ahsanteni sana …Mbarikiwe sana ❤️
DAIPA bora kwa mtoto wako na yenye bei nafuu kwa hapa TANZANIA 🇹🇿 ni moja tu BABY CHEEKY DAIPA …. OVAAAAH 🔊
Cc @cheeky_tz | Posted on 08/Jul/2024 14:22:03


