Aunt Ezekiel

Aunt Ezekiel Instagram – MURUA Herbal soap & Serum

Hizi product mbili zinatumika kama silaa ya haraka kwa chunusi za mara kwa mara na makovu yake.

Murua soap:
• Inatakatisha ngozi na kuifanya kuwa na muonekano wa rangi moja na safi
• Inakausha chunusi/ vipele
• Inatoa matango tango
• Inaondoa makovu ya chunusi
• Inakausha mafuta usoni
Price: 10,000/

Murua serum:
• Inatakatisha ngozi
• Inasafisha weusi chini ya macho
• Inang’arisha ngozi
• Inafuta madoa na makovu usoni
Price: 25,000/

📞0752300068 | Posted on 30/Jul/2024 13:36:09

Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel

Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel