Yvonne Cherrie Instagram – LEO NDIO MWISHO WA KUPENDEKEZA!
Baadhi ya vipengele vinavyoshindaniwa ni pamoja na
1. Kiongozi Mahiri kwenye Chombo cha Habari
2. Mtangazaji Bora wa Televisheni
3. Mpigapicha Bora
4. Mwandishi Mahiri wa Habari
5. Mtangazaji Bora wa Redio
📷 @abuuyusuftz
#TuzoZaWisac2024 #WISAC2024 #TuzoZaWisac #MwafrikaAsilia | Posted on 11/Nov/2024 12:00:07



