Yvonne Cherrie Instagram – Mioyo yetu imejaa majonzi tunapoomba kwa ajili ya Kariakoo. Mungu awatie nguvu na faraja wale wote walioathirika na kipindi hiki kigumu. Tusimame pamoja kwa mshikamano na tuendelee kutoa msaada kadri tuwezavyo.
#TuombeKwaAjiliYaKariakoo | Posted on 17/Nov/2024 14:56:04



