Yvonne Cherrie Instagram – Zimebaki siku mbili kufikia kilele cha sikukuu kubwa ya wanawake kwenye sekta ya sanaa utamaduni na michezo Tanzania. Usiku wa tuzo za WISAC 2024 ambao utakuwa usiku wa kipekee na wa kukumbukwa.
Ungana nasi na kuwa sehemu ya historia hii kubwa kupitia chaneli namba 106 @sinemazetuhd ambapo tutakuwa mubashara kuanzia saa 3.00 usiku.
WISAC VIRTUAL AWARDS NIGHT
#mwanamkenanusu #kazikazi
#wisacawards2024
@mwafrikaasilia | Posted on 27/Nov/2024 12:08:28


