Yvonne Cherrie Instagram – Mpendwa Mwasiti,
Sauti yako imevuka vizazi, kipaji chako kimewahamasisha wengi, na urithi wako kupitia Kipepeo Mweusi Project, haupimiki. Usiku wa jana WISAC AWARDS imethibitisha kuwa wewe ni The Greatest of All Time.
Hongera sana Kipepeo Mweusi! Wewe ni Malkia. Endelea kung’ara na kuweka viwango juu.
Kwa pendo wa dhati,
Yvonne Cherrie.
@mwafrikaasilia | Posted on 30/Nov/2024 16:18:19



