Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Mapinduzi Cup 2025

Saa 1:00 usiku, Kenya kukipiga na Zanzibar

Kenya anaingia katika mchezo huu akiwa na alama nne huku Zanzibar ana tatu.

Je, ni Kenya ama Zanzibar nani kumfata Burkina Faso kwenye fainali?

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#MapinduziCup2025. | Posted on 10/Jan/2025 12:31:45

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie