Elizabeth Michael Instagram – Dear First Love Erick (IKI),
Ahsante kwa kunitoa kimaso maso 🙌kukuona unakua na kuanza kujitambua na kupambania ndoto zako ni safari nitakayotamani kuirudia tena kama nitatakiwa kurudia
Ahsante kwa usikivu na heshima kwetu familia na huko masomoni ulipotoka
(Najua hutakagi kupostiwa….leo niache kidogo 🤣)
Kwa mumewangu @majizzo aiseee hapa nakuwa imoshono 🥹😭Ahsante kwa kuwa na Mimi kwenye safari hii ya malezi ya vijana wetu…Wewe ni zaidi ya baba bora 🙌 mengi zaidi kuhusu wewe nitaongea na mwenye dunia yake magotini…WE MADE IT BABA 💪 ❤️
Sema shule zingine bwana🤣Ndo 1 zoteee…🙌
Kumbe mtoto akifaulu ni raha hivi….subiri nimtafute mama angu nikamuombe msamaha kwa maumivu niliyompa 🤣🤣🤣🏃♀️ | Posted on 23/Jan/2025 14:31:27


