Jokate Mwegelo Instagram – Swipe mpaka mwisho uone maajabu ya UVCCM 🙂↔️
Maneno ya Katibu Mkuu wa CCM na Mgombea Mwenza Mteule Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Arusha kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 👇🏽
‘Mama mmoja ametamka kwenye maandaano; Ambaye hatamchagua Samia hajazaliwa na Mwanamke basi tunasubiri Oktoba tuone kama wale viongozi wa upinzani hawajazaliwa na Wanawake.’
Neno zito sana hili!!!!
Tukutane Oktoba 🗳️ | Posted on 08/Mar/2025 18:22:24



