Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – Tuliposema tupo na mama bega kwa bega mpaka kieleweke tulimaanisha kwa vitendo 😁

Leo ndio funga kazi Uwanja wa Mkwakwani Tanga Mjini mpaka muda huu uwanja umefurika vijana, mlioko njiani wahini wahini 🙂‍↔️

Tunazima Zote Tunawasha Kijani 💚 | Posted on 28/Feb/2025 12:57:02

Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo