Yvonne Cherrie Instagram – Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Carabao Cup.
Mabingwa watetezi Liverpool wanakutana na Newcastle United wana fainali wa kombe hili msimu wa 2022/2023.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:30 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, Liverpool kutetea taji lao ama Newcastle kulitwaa?
#CarabaoCup #Liverpool #Newcastle #LFC #NUFC | Posted on 16/Mar/2025 15:40:36