Yvonne Cherrie Instagram – Hatua ya 16 bora CRDB Bank Federation Cup
Leo saa 10:00 jioni, JKT Tanzania watakuwa dimba la nyumbani Meja Jenerali Isamuhyo wakiwakaribisha Mbeya Kwanza.
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, ni JKT ama Mbeya Kwanza nani kufuzu hatua ya robo fainali?
#SisiNiSoka #Azamtvsports | Posted on 13/Mar/2025 13:09:59



