Yvonne Cherrie Instagram – CRDB Bank Federation Cup
Leo saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Coastal Union, mechi ya hatua ya 32 bora.
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, Coastal Union kuwavua ubingwa Yanga SC ama wananchi kwenda hatua ya 16 bora?
#YangaSC #CoastalUnion | Posted on 12/Mar/2025 13:36:22



