Elizabeth Michael Instagram – Usiku wa jana nilipata nafasi ya kugawa tuzo ya MSANII BORA WA KIUME was COMEDY…lakini pia kusema machache mbele ya Rais @samia_suluhu_hassan 🇹🇿
Inatia moyo kuona kiongozi wa juu kabisa wa nchi akitoa support kwa TASNIA NZIMA YA SANAA/BURUDANI…hii inatupa nguvu na motisha zaidi katika kazi zetu.
Hongera nyingi kwa waandaaji,washindi na hata washiriki wa tuzo hizi…MWANZO MZURI 👏
🎥 @gigy_money_og ✊
#TCA2025 | Posted on 23/Feb/2025 20:55:07



