Elizabeth Michael Instagram – Huku kwetu PACIFY ORGANIC PADS hatuna staili moja ya kulala wakati wa siku zetu 🤸🏻♀️maana pads za @pacifypads_tz zinatupa uhuru wa kutosha…hakuna kuvuja wala kuchafua mashuka 🥰 sana sana usingizi unanoga na mambo ya last slaidi yanaweza kukufika 😭🤣
Cc @pacifypads_tz | Posted on 20/Feb/2025 12:35:01


