Aunt Ezekiel Instagram – Safari ya @auntyezekiel kujua Jinsi ya Mtoto wake, na bado hadi leo hajajua Mtoto wake ni Jinsia gani Ingawa yeye na mzazi mwenzake @_kusah_ wanatamani sana mtoto kupata mtoto wa Kike, Je? Watampata mtoto huyo wa kike.
Majibu yote yatapatikana Leo kwente GENDER REVEAL kuanzia Saa 9:00 Mchana tutakuwa LIVE kupitia @zamaraditv channel namba 413 nadani ya king’amuzi cha AZAM TV
#AuntyEzekielGenderReveal | Posted on 28/Feb/2025 13:31:53


