Hamisa Mobetto Instagram – My Heart is so Full. 🥹❤️
Hongera mwanangu kipenzi kwa kutimiza mwaka mmoja wa kuwa mzazi wa binti yako Mrembo @princess__amarah 🥳
Nakupenda sana sana @therealpaulahkajala
Jana Tuli enjoy sana lakini mimi nilikua nakuangalia siamin kama umekua mkubwa kiasi hichi🥺
Mungu aendelee kukusimamia baby girl
Umefanya kazi kubwa kama Mama katika mwaka wako huu wa kwanza wa kua Mama .
Nakuombea kheir na Baraka tele kwako na kwa familia yako
M/Mungu azidi kukuonekania . 🙏🏽❤️
.
📸- @officialkennyp | Posted on 04/May/2025 22:17:42



