Hamisa Mobetto Instagram – Leo pale Coco Beach nimeona ukweli mmoja:
Vijana wa mtaani wanapambana – mvua, jua, bado hawalalamiki.
Wanahustle kweli. Nikajiuliza:
Je, nikikupa bidhaa, unaweza geuza game yako?
Ndiyo maana nimeungana na @yaketbeverages kuanzisha #TeamYaket.
Tunatafuta vijana wakali—si wanaosubiri ajira, bali wanaoijenga.
Zawadi: Katoni 50 za #YAKETWATER zitatolewa bure!
Lakini ni kwa wale wenye mpango mzuri wa biashara.
Swali letu ni moja:
Ukizipata, una mpango gani?
Tuma DM IG/FB/TikTok kwa @yaketbeverages
Tuambie: Ungeuza vipi? Kwa nani? Kwa njia gani?
Boss hujengewa ndani yako – sisi tunakupa kick ya kuanza.
Jiunge na #TeamYaket leo, anza kuijenga brand yako!
Sales/WhatsApp: 0718 669 999
#YaketWater #TeamYaket #MabadilikoYaKweli | Posted on 17/May/2025 16:45:26



