Mume wangu kipenzi @aziz.ki.10 ❤️ Hongera kwa hatua hii kubwa ya kusaini mkataba wako mpya na @wacofficiel . Kila wakati naona juhudi zako, bidii yako, na tamanio lako la kuwa mchezaji bora sio tu Afrika ila duniani. Dua na kujituma kwako ndio msingi wa mafanikio yako siku zote. Wewe ni mfano wa uthubutu, uvumilivu, na maono yaliyojaa matumaini. Kila siku unavyoamka, unaamka na njaa ya mafanikio, na hilo linanipa nguvu pia mimi, kama mkeo. Kama mkeo, rafiki yako wa karibu, na shabiki wako wa kwanza, dua yangu kila siku ni ufanikiwe zaidi ya ukubwa unaouota kila mara. Endelea kung’ara, endelea kuamini, endelea kusukuma mipaka ya kile kinachowezekana. Najua huu ni mwanzo mpya wa mambo makubwa zaidi. Mimi niko nyuma yako kila hatua, katika kila pambano, kila goli, na kila ndoto unayopigania. Tunakupenda, tunakuombea, na tuko nawe hadi mwisho. @wacofficiel @aitmannahicham @zambro_traore #NewBeginnings #AzizKi10 #ProudWife #WydadFamily #mychampion #ksa10🙏🏻⚽️👑 #football #wydad #morocco #casablanca

So proud to cheer on my husband & @wacofficiel from the stands there’s truly no place I’d rather be. ❤️⚽ #soccerwife #football #africa #casablanca #morocco #wydad #dimawydad #ksa10🙏🏻⚽️👑

قلبي يفكر فيك كثيرًا، وأخشى أنك أصبحت قلبي”.❤️

“Wiki hii nilipata heshima ya kutembelea Ubalozi wa Morocco Nchini Tanzania. Balozi @zakariaelgoumiri alinikaribisha kwa upendo mkubwa, na nafurahia mchakato wa visa uliokwenda vizuri. Ni tukio la kukumbukwa kweli. Fursa hii adhimu imeniongezea uelewa wa kina kuhusu mahusiano ya kidiplomasia na ushirikiano wa kiutamaduni kati ya nchi zetu.” Cc @iamrealgewe #morocco #tanzania🇹🇿
Mnavyonipigia na kunipata ni kwa hisani ya @yastanzania_ mtandao wa uhakika unaoniweka mbele kwa internet yake yenye kasi na gharama nafuu. #YasTanzania #ExperienceYasTz
@mobettostyles New Collection ✨✨ Karibuni mpendeze ✨ ✨Magauni yapo Dukani “Ready to pick” ✨Bei: 30,000 Kwa pc Moja (Dress) ✨Bei :Kuanzia Pc 3 – 27,000 ✨ Mtandio: 10,000 ✨ Size :Free Size ✨Material: English Satin Og ✨ Kitambaa Mita 3 unapata kwa elfu 10 Tu. ✨Tunafanya Delivery Na Mikoani Tunatuma ✨Kenya, Uganda KARIBUNI SANA TUPIGIE/WHATSAPP KINONDONI STUDIO TUPIGIE 0677667788 KWA TANDIKA TUPIGIE/WHATSAPP 0778727222. @mobettostyles @mobettostyles_tandika ✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨
Friji ya @kodtecofficial – Lita 452 🔥❄️ Ufahari wa kweli unaanza nyumbani kwako! Hii double door refrigerator kutoka KODTEC ni chaguo la kisasa kwa familia ya leo. 🧊 Uwezo mkubwa wa kuhifadhi – lita 452! 🥶 Teknolojia ya fast cooling – bidhaa zako zinabaki fresh muda wote. 💡 Energy efficient – inatumia umeme kwa ufanisi, gharama ndogo kwa matokeo makubwa. 🧼 Design ya kisasa na rahisi kusafisha 🔒 Shelves imara compartments nyingi – kila kitu kinapata nafasi yake. 🧀 Friza ya nguvu kwa uhifadhi wa muda mrefu. Kwa bei ya kitonga, unapata ufahari mkubwa unaoendana na hadhi yako. Usibaki nyuma, familia kubwa ya KODTEC inakuita leo! Karibu ujipatie friji ya ndoto zako – KODTEC 452L, fahari ya nyumbani! 🏠✨ Wasiliana na sisi leo: @kodtec_mwanza 0748087851 @kodtecarusha 0748092435 @kodtecdodoma 0748207324 @kodtecuhuru01 0748204581 Njombe 255 748 092 286 Songea 255 748 204 807 Kahama 255 746 678 710 Mbeya 255 748 206 978 Iringa 255 748 092 372 Tunduma 255 748 221 928 Dar Msimbazi 255 748 090 061 Dar Aggrey 068 643 2279 Dar uhuru na livingstone 255 68 643 2263 Kigoma 0686432161 Tabora 0681250490 Lindi na Mtwara 0681250489 Moshi 0652576063 Morogoro 255 748 131 547 Marketing Dar 0747137324, 0748219480 na 0755914034 #kodtec #hamisamobetto