Hamisa Mobetto Instagram – Ninaungana na @yastanzania_ kuwaletea Anzia Ulipo Biashara Expo!
Hii ni fursa kwa wapambanaji wenzangu walioanzia walipo.
Yas Anzia Ulipo biashara Expo itawadhamini wajasiriamali 20 waweze kufikia masoko na networking platforms ili wapige hatua inayofuata kwenye biashara au ndoto walizonazo.
Mjasiriamali ambaye umeona huu mchongo fanya hivi;
1. Tutumie video ya dk 1- 2 kutuambia ulianziaje ulipo na kwanini upewe shavu hili na Hamisa & Yas
2. Tuma video kwenda Whatsapp no. 0713 123 775
3. Lazima uwe na biashara yenye bidhaa, huduma au stock ya kutosha ili uweze kuhudumia wateja wako kwa kipindi cha maonyesho.
4. Lazima biashara yako iwe unatumia Mixx Lipa Kwa Simu kama moja ya njia ya kupokea malipo. (Tuonyeshe picha ya Mixx Lipa no yako).
5. Lazima biashara yako iwe na ukurasa active Instagram au Facebook ambao tunaweza tembelea.
6. Ukubali story yako kuchapishwa kwenye kurasa za Yas na washirika wake
7. Yas itagharamia eneo la kuonyesha biashara yako, branding, entrace fee, promotion ya biashara yako kupitia vyombo vya Habari na influencers wetu.
Mwisho wa kupokea maombi ni Jumapili Tarehe 22 Juni 2025, na waliochaguliwa watapigiwa simu Jumatatu tarehe 23 Juni 2025.
Wewe njoo na bidhaa au huduma yako tayari kwa kuionyesha dunia ujuzi wako! All the best! | Posted on 19/Jun/2025 17:38:12
Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto



