Hamisa Mobetto Instagram – Warembo wangu msije kupitwa na Chrochert hii mpya mjini kutoka @primaafro_hair ❤️
Mimi Naipenda nywele hii ya ROYAL CURLS kwa sababu napenda wimbi lake la kudumu, urahisi wake wa kusukwa, na vile linavyonifanya nijisikie kama malkia kila siku.
Mimi nimesukia rangi namba #130
Sukia na wewe upendeze sasa na @primaafro_hair 🥰
Msusi – @josesalon__mwenge | Posted on 13/Jun/2025 20:14:34



