Irene Uwoya

Irene Uwoya Instagram – Leo Nataka nikusisitize kuwa makini na rafiki …najua tunajua marafiki kuna mda sio watu wazuri kwetu lakin nataka nitie mkazo kwa nilichokiona … atakama unarafiki unamwamini kiasi gani akikupa kitu iwe chakula …hela …nguo …chochote kile usitumie bila kukiombea… Vunja nguvu zote za giza na vyote vbaya… ibariki kwa damu ya YESU Kisha tumia…
Kuna mda unaweza ona mambo hayaendi kumbe rafiki yako ndio shida… jifunze kuomba kwa kila jambo usidharau… vitu vidogo tunavyovidharau ndio vinatuua . | Posted on 09/May/2025 21:07:19

Irene Uwoya
Irene Uwoya

Check out the latest gallery of Irene Uwoya