Irene Uwoya Instagram – Happy birthday my friend…my heart…my hope… my son
Umekuwa baraka sanaaa kwangu … umenifanya mtu mpya …Nakupenda krish wangu … MUNGU wa mbinguni asikupungukie …damu ya YESU ikulinde milele chochote kibaya atachokusudia adui hakitakupata kwa jina la YESU …Nakupenda sanaaa krish wangu
HAPPY 14th BIRTHDAY MY SON 😍😍😍 @krishndiku08 | Posted on 08/May/2025 14:18:55
Check out the latest gallery of Irene Uwoya



