Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – MBINGA MBINGUNI ❤️

Asante sana Mhashamu Baba Askofu John Chrisostom Ndimbo, Askofu Wa Jimbo Katoliki la Mbinga kwa nafasi hii ya kushiriki ukarabati wa seminari yetu ya Likonde. Mungu ni mwema kila wakati!!! | Posted on 27/Jun/2025 10:09:09

Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo