Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – Kusema ukweli kabisa ilibidi nitafute tafsiri ya haya maneno aliyotumia ndugu yangu @joramnkumbi na nimeyapata. Nayaleta hapa kwa faida ya wengi, najua siko peke yangu niliyetoka kapa;

Mwanamke wa Mbeko = Mwanamke wa shoka ama nguvu

Mwanamke wa Uluwa = hadhi ya Juu

kijagina = Kishujaa

Jagina ni Shujaa

Mabanati = Mabinti wadogo zaidi

Buruji = Tower

Mbeja = mrembo

Umbeja = fashionable

Matlai Shamsi = Mrembo sana 😀 mfano hakuna

Haya sasa tuendelee kujifunza kwa utulivu mkubwa | Posted on 31/May/2025 17:19:30

Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo