Jokate Mwegelo Instagram – Mwadila, engβwashi ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Vijana zaidi ya 1000 wametembea Kilometa 30 kulifuata
Daraja la Kigongo-Busisi ambapo leo Mheshimiwa @samia_suluhu_hassan Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania atakwenda kulinzindua rasmi. Matembezi haya yaliongozwa na Katibu wetu wa Mkoa wa Mwanza Ndg @john_madagaa na Mwenyekiti wa Vijana wilaya ya Sengremea.
Dondoo chache za daraja hili;
β
lina urefu wa kilometa 3.2 na linatajwa kuwa daraja lenye urefu zaidi Afrika Mashariki na Kati. Ikishika nafasi ya 7 ya madaraja yenye urefu zaidi barani Afrika.
β
lina uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 20,000 kwa siku ukilinganisha na huko nyuma ambapo ferry ilikuwa ikipitisha magari 1600 kwa trip moja.
β
daraja hili linakwenda kupunguza muda wa kusafiri kutoka saa moja mpaka dakika 3-4 na hivyo kuongeza muda wa wananchi kufanya shughuli za kijamii na Kiuchumi kwa ufanisi zaidi.
Ongezea hapo wananzengo faida zingine za daraja hili kwenye comments zawadi itawahusu pia ππ½ππ½ππ½ππ½ | Posted on 19/Jun/2025 11:25:30



