Meena Ally Instagram – Leo nimepata nafasi ya kuhudhuria ufunguzi wa Maonesho ya 11 ya Utalii ya BALI & BEYOND TRAVEL FAIR hapa Bali, Indonesia nikiwa na kaka yangu @salim_kikeke
Umekua wakati mzuri sana na kiukweli nimejifunza zaidi kuhusu utalii wa kijani na kupata nafasi ya kumuona Waziri wa utalii wa Indonesia Mh.Widiyanti Wardhana.
Thank you @indonesiaindaressalaam 👊🏽🇮🇩 | Posted on 11/Jun/2025 13:23:29



