Meena Ally Instagram – Ulikua wakati poa usiku wa leo kumshuhudia @fridaamaniofficial akiweka historia kwa kuperform mbele ya Rais wa Finland Dr. @alexstubb katika sherehe ya Miaka 60 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Finland 🇹🇿🇫🇮
God has done it again, Very proud of you, keep making history ❤️🔥 | Posted on 16/May/2025 00:19:14



