Wema Sepetu Instagram – Eid al Adha kwenu ndugu zangu wote… Picha mashallah kutoka kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania… The Tanzanite Lady herself… Nimependa comments za hii picha sana kule kwenye page ya Namba Moja wetu… Tunashkuru… Kazi na UTU, Tunasonga Mbele… | Posted on 07/Jun/2025 15:57:34
Check out the latest gallery of Wema Sepetu



