Hamisa Mobetto Instagram – Habari familia yangu pendwa ❤️
Nina furaha kubwa sana kuwajulisha kuwa nitakuwepo katika Maonesho ya SABASABA 2025
Mahali ambapo ndoto, mitindo, bidhaa bora na watu wa kipekee hukutana ✨
Na mwaka huu, nitakuwepo LIVE kwa siku mbili mfululizo, nikiwa na hamu kubwa ya kukutana na mashabiki wangu wa ukweli! ❤️💫
📍 Ratiba Rasmi ya Sabasaba 2025:
🗓 JULAI 6 – Saa 7:00 Mchana
📌 @yastanzania_
Tukutane kwenye banda la wale wanaoamini kuanza pale walipo — mahali pa kutia moyo na kufanikisha ndoto zako!
🗓 JULAI 7 – Saa 6:00 Mchana
📌 @kodtecofficial
Karibu tufanye manunuzi ya vifaa vya kisasa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini
Teknolojia kwa ubora wa hali ya juu!
🗓 JULAI 7 – Saa 8:00 Mchana
📌 @yaketbeverages – Banda la Wachina (Chinese Pavilion)
Tunywe maji bora, tupumzike na tuunganike kwa furaha na ladha ya #YaketWater 💦
Asanteni kwa upendo wenu wa kila siku
Karibuni sana
Tuje tuandike historia pamoja 🥰
#Sabasaba2025 #HamisaLive #YASTanzania #KODTEC #YaketWater | Posted on 05/Jul/2025 14:42:54



