Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – Misa Ki was here๐Ÿ’™๐Ÿ’›!

Jana nilipata nafasi ya kipekee kutembelea banda letu la @yastanzania_ hapa Sabasaba! Nimeshuhudia suluhisho zetu za kiteknolojia, bidhaa zenye ubunifu wa hali ya juu na huduma zinazobadili maisha ya watanzania huku nikikutana na baadhi ya wateja wetu waliokuja kwenye banda letu kuzianza safari zao za mafanikio na Yas.

Mimi ni mfano halisi wa Anzia ulipo. Chukua hatua sasa! Tembelea banda letu, jifunze, uliza, na chagua bidhaa bora kutoka Yas zitakazokuwezesha kuanza safari yako ya mafanikio leo.

#YasSabasaba2025 #AnziaUlipoNaYas #HamisaMobetto | Posted on 07/Jul/2025 17:40:49

Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto