Jokate Mwegelo Instagram – Nilipata fursa ya kuhudhuria uzinduzi wa Miss Universe Tanzania 2025 ambapo kwasasa leseni ya kuendesha mashindano haya iko chini ya Dada yetu, mrembo wa siku zote @themillenmagese @millenprivelifestyle @basata.tanzania 🤍🤍🤍🤍🤍
Ilikuwa ni wakati mzuri pia wa kukutana na ndugu wa kwenye tasnia hii ya urembo nchini.
I see you @abigail_chams @martinkadindaofficial ❤️
PS; zingatia ujumbe scroll mpaka kwenye post ya mwisho 😁 | Posted on 01/Jul/2025 22:16:53



