Kajala Masanja Instagram – Leo ni siku ya kipekee kwa moyo wangu mtoto wangu wa kipekee ametimiza miaka 23 💛
Nimekuona ukikua kutoka kwenye mikono yangu hadi kuwa mwanamke mwenye msimamo, heshima, upendo na ndoto kubwa.
I may have given you life, but you gave my life purpose.
Wewe ni zawadi yangu kutoka kwa Mungu, baraka yangu ya kila siku.
Nakutazama sasa na najua huu ni mwanzo tu.
Mungu akulinde, akuinue, na akufungulie njia ambazo macho bado hayajaona.
Shine my love,dunia ni yako!
Mama anakupenda kuliko maneno
HAPPY BIRTHDAY ROHO 🎂
NAKUPENDA SANA❤️ @therealpaulahkajala | Posted on 15/Jul/2025 13:15:08
Check out the latest gallery of Kajala Masanja



