Phina

Phina Instagram – MAMBO VIPIIII MELANIN SQUAD…

LEO NINA MCHONGO KWENU , NATAKA WATU WATAKAOSHIRIKI KWENYE #YATAPITACHALLENGE AMBAO NITACHAGUA WASHINDI (TOP 3) KUTOKA, TIKTOK NA INSTAGRAM NA KUWAPA (100k ) KILA KIKUNDI!

1.REKODI VIDEO UKICHEZA AU MKICHEZA CHALLENGE
2.POST KWENYE PAGE YAKO INSTAGRAM AU TIKTOK
3.TAG ME (hashtag #yatapitachallenge)
4.POST YENYE LIKES NA COMMENTS NYINGI ZAIDI WATASHINDA 100k NA KUPATA NAFASI YA KU SHOOT CHALLENGE NA MIMI

CHALLENGE INAANZA LEO MPAKA JUMATANO WIKI IJAYO (NITATANGAZA WASHINDI)

Haya twende kazi!

YATAPITA IS OUT AT MIDNIGHT EAT (SAA SITA USIKU LEO)

Kudos to my dancers @__rider_bad @rahultz_ 🙌🏻🙌🏻 | Posted on 17/Jul/2025 14:48:38

Phina
Phina

Check out the latest gallery of Phina