Phina Instagram – GOD’S FAVOR…🙌🏻! (Pslams 113:8)
Huu ni wimbo wa taifa wa Marekani, ni kati ya nyimbo zinazotumia ufundi mkubwa sana wa sauti🙌🏻!
Umeimbwa na wasanii tofauti tofauti wakubwa duniani ikiwemo Beyonce, Whitney Huston, lady gaga n.k…and
I’m truly honored to join that list🙏🙌🏻 na kuiwakilisha nchi yangu katika hili! 🇹🇿
#usnationalday | Posted on 05/Jul/2025 16:49:25



