Phina Instagram – Jana nilipata heshima kubwa na kupewa nafasi na ubalozi wa marekani Tanzania @usembassytz kutumbuiza kwenye sherehe ya Siku ya Taifa ya Marekani 🇺🇸.
Nilijivunia kuwakilisha sanaa ya Tanzania, na zaidi — kuimba wimbo wa taifa wetu mbele ya wageni wa kimataifa.
Kwa kweli, hii ni heshima kubwa sana kwenye sanaa yangu.
Asanteni kwa mapokezi ya kipekee. 🙏🏽🇹🇿
#Shukrani #SikuYaTaifa #HatuaKubwa #DiplomasiaKupitiaSanaa #PhinaLive #USEmbassyTanzania | Posted on 03/Jul/2025 12:33:57



