Aunt Ezekiel Instagram – MASHALLAH MASHALLAH 🤲❤️
Sasa bac niwape kastory kafupi tuu kidogo
Babangu mm alikuwa ni Mkristo Safi kabisa na babakee
Namaanisha Babu yangu alikuwa Mzee wa Kanisa kabisaa
Na Mama alikuwa Muislamu Safi kabisa kutoka Bukoko uko
Na Babakee alikuwa Shekhe Mkuu Uko kijijini….
Bwana wee si wakakutana Wakatuzaa Sisi😃
Hapo ndio kimbembe kilipoanzia…..Leo nimechoka kuandika ntaendelea…..but hii Story ni nzuri sanaa na ina Mafunzo sanaa
Ntakuja kuilezea kwa Video
All in All Cookie kasema yeye Anataka kuwa
Muislam kama Babakee @_kusah_ 🙌❤️
IJUMAA KAREEM TO ALL❤️ | Posted on 08/Aug/2025 12:16:31
Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel



