Godliver Gordian Instagram – Hey love
Katika utajiri wa UDUGU nilionao basi nyinyi wadogo zangu ni sehemu ya HAZINA niliyonayo. Neno langu kwenu ni moja tu, silaha ya ushindi ni KUMCHA MUNGU hakikisheni mnaikumbatia daima.
Nawapenda sana na yote ya kheri yakawe kwenye maisha yenu siku zote, yaliyo ya Shari yawaepuke kwa jina la Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo. Amen
Zaburi 111:10 Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana akili njema, Sifa zake zakaa milele.
Happiest Birthday to you both @kyna_hm @lissahactress
.
.
.
Utukufu na uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖 | Posted on 20/Aug/2025 21:18:26



