Godliver Gordian Instagram – Hey love
1 Yohana 2:
15 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake.
16 Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.
.
.
.
Utukufu na Uweza ni wake Bwana na Mwokozi wa maisha yetu, Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai, milele na milele. Amina💖 | Posted on 13/Aug/2025 12:13:41



