Hamisa Mobetto Instagram – Kupitia kampeni ya #TeamYaket ninafuraha kutangaza baadhi ya washindi waliothibitisha kuwa nguvu ya wazo inaweza kuleta matokeo makubwa.
Hongera sana kwa Anneth kutoka Kariakoo na Penina kutoka Tabata kwa uthubutu wao na nia ya kutaka kuleta mabadiliko katika shughuli zao za kila siku.
Kwa @Yaketbeverages haya si tu mashindano ni jukwaa la kuinua sauti za Watanzania wenye ndoto na mipango ya kubadili jamii.
Na kwa wote waliotuma maombi ,Safari bado inaendelea. | Posted on 01/Aug/2025 14:06:18


