Hamisa Mobetto Instagram – ✨ Alhamdulillah 🙏🏽✨
Nashukuru sana kwa hatua hii mpya maishani mwangu as I officially join the Hollantex family 🤍.
Asanteni sana @hollantex_official kwa kuniamini na kunipa nafasi hii, na shukrani za dhati kwa mashabiki wangu wote wa nguvu your love and support make moments like this possible ❤️.
Sio tu kwamba tunasherehekea kuwa Brand Ambassador, lakini Hollantex imetoa new stunning collection! 😍✨
Siwezi kusubiri muione mtaipenda!
Tembelea @hollantex_official kuona muonekano mpya, na endelea kuwa karibu hapa kwa updates za kuvutia, style inspiration, na mengine mengi mazuri yanayokuja!
#HamisaMobettoXHollantex #Hollantex #NewCollection #BrandAmbassador | Posted on 15/Aug/2025 18:38:47



