Irene Uwoya Instagram – Nimeona hii vdeo mahali imenibariki sanaaa …mnooo…siwajui ila MUNGU amefanya kitu kipya leo kwenye maisha yangu kupitia video hii
Natamka baraka kwa kila mmoja kwenye vdeo hiii … MUNGU awabariki mtokako na muingiapo … neema yake iwe juu yenu… hataacha muaibike kwa chochote kwenye maisha yenu… hamtapungukiwa nyie na familia zenu … na video hii ikawe baraka kwa wengine kama ilivyo kwangu kwa jina la YESU … AMEN 🙏 . | Posted on 03/Jul/2025 02:16:56
Check out the latest gallery of Irene Uwoya



