Irene Uwoya

Irene Uwoya Instagram – Tunakupenda sanaaa @mbosso_ MUNGU wa mbinguni asikupungukie … roho yako nzuri na unyenyekevu usiache maana MUNGU anapenda wenye kunyenyekea … tunakuombea sanaaa na yeyote atae kuendea kinyume na mapenzi ya MUNGU kwako alaaaniwe.
Asante @philly_all_occasions msosi ulikuwa nomaaa .
Nguo yangu @rehemaamirimrisho | Posted on 24/Jun/2025 16:43:30

Irene Uwoya
Irene Uwoya

Check out the latest gallery of Irene Uwoya