Irene Uwoya Instagram – Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa… na yeyote anaekutamkia mabaya yamkute mwenyewe… nayeyote atae kutamkia mema na abarikiwe kwa jina la YESU 🙏 … I love you so much @krishndiku08 wangu … wewe ni kichwa nasio mkia… damu ya YESU ikufunike na malaika walinzi wakutangulie utokapo na uingiapo… naukawe baraka kwa wengine. | Posted on 05/Aug/2025 22:17:53
Check out the latest gallery of Irene Uwoya


