Jacqueline Wolper Instagram – Siku zote mimi huwaga ni mtu mwenye huruma sana, najiskia vibaya kiukweli nikiona washiriki wanaaga mashindano
Pole @ruqy_makeup nakutakia kila la kheri kwenye kazi zako, waTanzania msiache kumsupport❤️💄
Kama ulikosa @themakeovershow marudio ni leo saa 12:10 jioni ndani ya DSTV Maisha Magic Bongo Ch.160
Hili ni #kabumbulabrushnapowder
#trending #viral #beautifulwoman #makeupartistry #fashionmodels | Posted on 24/Aug/2025 12:26:32



