Jacqueline Wolper Instagram – Basi Bwana jana Ikawa Busy Day kwa Mama pipi jambo Ambalo siku nyingi sijaliweza kutoka Na heka heka ..Nashukuru Mungu nilifanikisha kwa Baby shower ya Mdogo wangu Roxy @Roxie_dolly 😍
.
Bila kusahau Miss Migubu wangu kwenye moja Na Mbili ye anatakaga Neno liwe sheria😂
Basi bana tukatoka Tukapanga Majambo yetu ya vibunda 💰 ila kikao akijakamilika..
So Tuombeane uzima..🙏
All in All Thank u My Good friend My only Bff Nimebeba kila jambo Na Mungu akanipe Hekima kubwa sana kwenye kila hatua…
love u Mungu Abariki kazi za Mikono yetu @nicolejoyberry ur The one I Trust God Protect u Besteee🍇❤️❤️💕 | Posted on 16/Aug/2025 17:24:21



