Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – HISTORIA IMEANDIKWA 💚

VIPAUMBELE VYA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Katika siku 100 za kwanza za uongozi wake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza mambo mahsusi yenye tija na mafanikio makubwa kwa Watanzania:

✅ Ajira mpya kwa walimu na watumishi wa kada ya afya
✅ Bima ya afya kwa wote – bure kwa wazee, wajawazito na watoto
✅ Elimu bora na walimu wa sayansi na hisabati
✅ Mitaji kwa wajasiriamali wadogo na mikoa ya viwanda
✅ Upatikanaji wa maji safi na nishati salama ya kupikia
✅ Uhuru wa habari na mapambano dhidi ya rushwa

Hakika Uongozi wake ni wa vitendo, unaogusa maisha ya kila Mtanzania. Ewe Mtanzania mwenzangu ifikapo Oktoba 29, 2025 Kura zote kwa Dkt. Samia ✅

#ChaguaCCM
#OktobaTunatiki
#KaziNaUtuTunasongaMbele 🇹🇿 | Posted on 28/Aug/2025 23:35:02

Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo