Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo Instagram – Muandaaji wa mashindano ya UREMBO nchini ni muhimu awe kwanza mtu aliyejipambanua kuepuka kuwatumia vibaya hawa mabinti zetu na kuwapa ahadi hewa. Tuwape watu sahihi wa kuendesha haya mashindano.

Hongera sana @basata.tanzania kwa uamuzi huu mzuri, ni imani yangu @themillenmagese @millenprivelifestyle atayafikisha haya mashindano mbali zaidi. Kikubwa tumpe yeye na team yake suport ya kutosha wafikie malengo kwa ukubwa wake. | Posted on 02/Jul/2025 22:24:09

Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo

Check out the latest gallery of Jokate Mwegelo